Like Us On Facebook

AIBU YA KARNE...!!! MUME AMNASA MKEWE AKIJIUZA...Soma hapa MKASA MZIMA

         Kuna jamaa ameoa na ana mtoto mmoja kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu msosi mmoja per day, siku moja alisikia fununu kuwa mke wake ni kahaba/ malaya wa kujiuza usiku lakini yeye alidharau kwamba wanamsingizia mke wake kwani alikua anamwamini sana.



Siku ya siku ilivyofika, rafiki yake wa karibu wa huyo jamaa(mume) alimuona shemeji yake(mke wa rafiki yake) anawinda kula vichwa kandokando ya barabara(ukahaba) kwa haraka akampigia simu rafiki yake aje eneo la tukio ajionee mwenyewe!!!

 

Yule jamaa(mume) akachkua taxi na kuelekea moja kwa moja huko eneo la tukio....Alipofika hakuamini macho yake kwa alichokiona.

 

Ni kweli alikua ni mke wake kabisa anafanya ukahaba kuuza uchi wa vidume wengine.

 


Aliamua kumsogelea karibu na kumuita kama mteja wa kawaida....Yule waifu alijua amepata buzz so akajileta kwa haraka kwake... 

Ghafla yule mke akagundua kuwa anaemuita ni mume wake wa ndoa, so akatota mbio za chui duma kama anavyoonekana pichani

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari