Like Us On Facebook

MWANAMKE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE LEO MCHANA!!

 
 Mama mmoja  wa  kinigeria   amekamatwa na madawa ya  kulevya  mchana  huu  katika uwanja wa ndege wa JNIA  akijaribu  "kum-bypass "  Dr.Mwakyembe. 

Mwana  mama  huyo aliyetambuliwa  kwa  jina  la  Ojo Athnonie  alikuwa  amevaa   bai bui kwa juu na kufunika sura yake  yote.....

Taarifa  zinaarifu  kwamba  mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko  chini ya  ulinzi  mkali wa polisi .....

Kwa mujibu wa StarTV, mwanamke  huyo anadaiwa  kutumia  ubunifu  wa  ziada kwa  kanunua  powder za johnson kubwa na  kuzikata  kwa juu na  kisha  kuweka  kete  99  ambazo  zote  zimenaswa.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari