Dada: We acha tu kakaangu yalionikuta hata sijielewi na najuta kumkubali mtu ambaye nahisi afya yake sio salama alafu mpira umepasuka katikati ya naniliuuu...!
Paparazi: He! imekuaje umkubali mtu usiemuamini?
Dada: Shida kakaangu ningekua na maisha mazuri nisingemkubaliaaaaa!!!! Yote hayo yamesababishwa na ugumu wa maisha! Weeeee... Mbona kama unanipiga picha?! Achana na mimi kumbe unanipiga picha?..!
Paparazi: Hamna dada niliwasha kibiriti cha gesi kikagoma sio kamera dada nisubiri usikimbie!!!
Dada: Sitaki! Nakwambia sitaki usinizoee mi nishavurugwa..!Wakati huo paparazi alikuwa tayari kaishapiga picha kadhaa ikabidi aingie ndani ya nyumba hio ya wageni ili akaipige picha njemba iliopasua mpira kwa bahati mbaya alikuta manyoya njemba imesepa! Hatimaye kubahatika kuipiga picha condom hio iliopasuka tu.
Huo ulikuwa mwisho wa safari yetu na stori yetu ila tunazidi kufuatilia Tukio kimyakimya
Alikuwa peku viatu mikononi