Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Zuhura Maftah ambaye wengi wanamjua kama Malisa amefariki dunia. Bado hatujajua kilichosababisha kifo cha muigizaji huyo lakini
tutakuletea updates zaidi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen
Malisa
tutakuletea updates zaidi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen
Malisa