Like Us On Facebook

MFANYABIASHARA BILIONEA AFANYA KUFURU YA DUNIA, ANUNUA NDEGE NA KUGEUZA GESTI YA KULALA WAGENI KATIKA MJI WA STOCKHOLM NCHINI SWEDEN



The 1976 Jumbo is now a fixed hostel feature at the Arlanda airport near Stockholm, in Sweden
Nyumba hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Ndani ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi, vyumba vina luninga, imesha aanza kuchukua wageni wa kulala na ipo karibu na uwanja wa ndege wa  Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden.
The grounded Boeing 747 is now a fixed hostel at Arlanda airport, near Stockholm, where gusts can even pay to stay in the cockpit suite
Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia  £170 kwa usiku mmoja..
The rooms are all kitted out with flatscreen TVs, WiFi and en-suites

Unusual: The unique Jumbo Stay hostel has a selection of 27 cabins to choose from with rooms having elevated views of the airport
The unique Jumbo Stay hostel has a selection of 27 cabins to choose from
The airplane, a decommissioned jumbo jet built in 1976, was last operated by Transjet, a Swedish airline that went bankrupt in 2002
Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni 
The unique style of accommodation is likely to appeal to aviation enthusiasts, but perhaps not frequent flyers
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Mr Divs said the opportunity to buy the Jumbo came at exactly the right time: 'Since I had for a long time wanted to establish my business at Arlanda I didn't hesitate for a second when this opportunity struck'

Cosy: Guests have the same hotel luxuries as standard accommodation, including en-suites, flatscreen TVs and WiFi
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Guests have a hefty flight of stairs to climb if they want to stay in the Jumbo, climbing to entrances either at the front or the back of the plane

Transformation: Much work has gone into converting the decommissioned Jumbo from a passenger plane to a comfortable hostel with places to kick back and relax
Sehemu ya kupumzikia

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari