Like Us On Facebook

LEILANI FRANCO NDIYE MWANAMKE ALIYEWEKA RECORD YA DUNIA KUTOKANA NA UWEZO WA KUCHEZA NA VIUNGO VYA MWILI WAKE

             Kwa jina unaweza muita Leilani Franco  ana urahia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi backbend umbali wa 20 m  katika muda wa 10.05 dk katika  tamasha la Royal Hall mjini London, Uingereza, tarehe 11 Machi 2013. Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu. Pia kama inavyothaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine, lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwamake huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake  katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika.....


Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha  Mwili wake. 

MCHEKI HAPA AKIONYESHA JINSI GANI ALIVYO NA UWEZO WA AJABU AMBAZO C KILA BINADAMU ANAWEZA KUWA NAO..

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari