Like Us On Facebook

KUREJESHA BIKIRA KWA WANAWAKE KWA TIBA ASILIA.....SOMA HAPA

                  Watu wengi hujiulizia  kama  kuna dawa  ya  asili  ya  kurejesha  bikira  kwa  wanawake.
 Ni kwamba,  haipo  dawa  ya  asili  inayo  weza  kurejesha  bikira  kwa  mwanamke.Dawa  zilizopo ni dawa  za  kichina, na  side  effects  zake  ni  kubwa  sana. 
Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwanamke  anaye  tumia  dawa  za  kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  yake  anajiweka  katika   hatari  kubwa  sana  ya  kupatwa  na  ugonjwa  wa  kansa kutokana  na  kemikali  mbalimbali  zinazo  patikana  katika  dawa  hizo.
USHAURI  WETU
Tunashauri  usitumie  dawa  za kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  kwa  sababu  madhara  yake  ni makubwa sana.
UTUMIE  DAWA  GANI?:
Hakuna  dawa  ya  kurejesha  bikira, dawa  za  asili  zilizopo  ni  dawa  zinazo  fanya  kazi  ya  kuufanya  uke  kuwa  tight  sana  lakini  hauwi  bikira. 

Bikira  ikishatoka  haiwezi  kurudi  tena.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari