Like Us On Facebook

INASEMEKANA HUYU NDO MISS KISWAHILI 2009 ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA.

                      Kuna habari zimezagaa kwa wabongo waishio China inasemekana aliyekuwa Miss Kiswahili 2009 wengi tukimjua kwa jina la Rehema Fabian amekamatwa na unga nchini humo.


Marafiki wa karibu wa Rehema ambao waliomba nisiwataje wamesema kuwa Rehema aliondoka kuelekea Shaghai wiki moja iliyopita halafu juzi ndio wao walipewa habari kuwa rafiki yao kakamatwa na kosa jingine alilokuwa nalo ni aliova stay kwasababu VISA yake ilikuwa imekwisha kitambo. Kama kuna ndugu yake yoyote ameona habari hii mnaombwa mfikishieni habari hivi mama yake mzazi ili ajue.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari