Like Us On Facebook

HII NDO HOTEL ALIYOFIKIA DIAMOND KWAAJILI YA SHOW YAKE HUKO MALAYSIA

            I hope mashabiki wangu tayari mnafahamu kuwa
nimo nchini Malaysia kwa Tour ya kimziki,nashukuru Mungu nilifikia
 salama kabisa mimi na team yangu yaWCB WASAFI,nimepata
 mapokezi mazuri kiukweli kiasi cha kujiskia niko nyumbani.
Pichani ni chumba cha hotel ninamopumzishia mbavu zangu Tayari
 kabisa kwa kwa kuwapa watu wangu wa Malaysia burudani  inayowastahili pamoja na kuiwakilisha nchi yangu Tanzani..is gonn down babay!!!! ''Amesema diamond kupitia blog yake
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari