Like Us On Facebook

DILLISH AMKANA MWANAUME WA KENYA ANAEDAI KUWA NI BABA YAKE MZAZI



Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo Guyo aliyejitokeza juzi  katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia, Dillish amemkana na kusema baba yake ana asili ya Somalia.

Mashabiki mbalimbali wamemuuliza Dillish kuhusu Guyo kupitia twitter, lakini Dillish ambaye ameonesha kushangazwa na habari hizo, jana  alitweet kuwa baba yake ana asili ya Somalia hivyo hajui huyu jamaa ameibukia wapi!..


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari