Like Us On Facebook

BINADAMU 200,000 KWENDA KUISHI MILELE KATIKA SAYARI YA MARS KUANZIA MWAKA 2016.

Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars.
Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi MarsImesema kuwa mifumo ya kwenda huko itajaribiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ile ya kwenda mwezini.article-0-16D5B5EA000005DC-73_634x242
Muonekano wa ardhi.
TIKETI ya one way kwenda kuishi kwenye eneo tasa, lenye ardhi ya ajabu, joto linaloweza kugota 150°C, inaweza isiwe na mvuto kwa wengi, lakini mpaka sasa watu laki 2 kutoka nchi 140 duniani wametuma maombi yao kuwa sehemu ya wakoloni wa kwanza kwenda Mars.

Waombaji wamekubali kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu kwa maisha yote yaliyosalia na watashutiwa kwenye reality TV show.

Kampuni ya Uholanzi ya Mars One inajiinda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018. Chanzo: Bongo5, Chanzo cha awali: Daily Mail.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari