Like Us On Facebook

SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA KIGOMA

     Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la    Serengeti Fiesta 2013.

 

  Burudani ya kutosha kabisa.
  Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika usiku wa kuamkia leo wakiburudika na wasanii wa Serengeti Fiesta 2013.
 Palikuwa hapatoshi ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
 Mwanamuziki mahiri wa muziki wa Dansi, Christian Bella akikamua jukwaani.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya maelfu ya wakazi wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.

  Sehemu ya umati wa watu waliofurika ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku wa kuamkia leo.
  Msaniii anekuja kwa kasi kwenye miondoko ya Hip Hop, Stamina akikamua jukwaani usiku wa kuamkia leo mbele ya maelfu ya wakazi wa mji wa Kigoma waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rachael kutoka THT, akionesha umahiri wake wa kutumbuiza jukwaani.


 Pichani ni msanii wa Bongofleva, Shilole Mohamed na madansa wake wakiwachengua vilivyo wakazi wa Kigoma, waliojitokeza kwa wingiusiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.

Peter Msechu na madansa wake wakikamua vilivyo katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari