Like Us On Facebook

PICHA: FOLENI YA KWENDA KUMUONA SHEIKH PONDA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospitali ya muhimbili....
Watu wengi waenda muhimbili kumuona sheikh Ponda aliyelazwa hospistalini humo. Kutokana na wingi wao ilibidi wapange foleni ili kuepuka usumbufu wa kuingia wote kwa pamoja kwasababu ya uwingi wao.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari