Like Us On Facebook

HATIMAYE NISHA AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU HEMEDI PHD....!!

     
 Jana  muigizaji Hemedi Suleiman maarufu kama Hemedy PHD amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 27 katika ulimwengu huu.


“HAPPY BIRTHDAY.. mwanaume unaefanana na mwanaume wa maisha yangu, mwanaume nnaempenda kuliko chochote duniani,mwanaume alienifanya nisione mwingine duniani zaidi yake,mwanaume akiyenipunguza kilo kumi ndani ya siku 20,(mind ur own bizzness usiniulize kwanini), ninapokuangalia ww namuona yeye,, HAPPY BIRTHDAY my Lusungu my Fernandoo .. my Mathias,, maisha mema na yenye baraka tele yawe mbele na nyuma yako..”



Huo ni ujumbe alioundika mwanadada Nisha kwa Hemedy.



Happy birthday Hemedy.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari