Pichani
juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia
kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani.
Hapa
baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika
wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja
wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya
watu kama hawa wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja
huo ikiwemo na kugeuza matumizi yake.