Justin
 Bieber amepigwa picha akibusu ziwa la binti anayesemekana kuwa ni  
stripper na picha hii imeonyesha sura ya kijana mwingine anayejulikana 
kama  Khalil Sharieff  ambaye ni rafiki wa karibu wa Justin Bieber.
Binti huyu mburudishaji wa vijana kwenye shughuli zao inasemekana 
alipewa kazi hio maalum kwa ajili ya pati ya  Justin na marafiki zake 
huko L.A na wakati wa sherehe hio Justin hakutaka kukosa nafasi ya kujua
 utamu wa ziwa la binti huyo anayesemekana kuwa na umri mkubwa zaidi ya 
Bieber

