Nilikua
nikijiuliza hivi inakuaje mtu anaamua kuchungulia dirishani na
anafaidika nini kuwachungulia wapenzi wakufanya yao maarufu kama chabo..
baada ya kuumiza kichwa sana nikagundua kumbe ni mfumo wa
miundombinu... nyumba nyingi za uswazi ni chumba kimojaa na dirisha
unakuta nyavu zimeanza kuchoka . sasa chabo inakujaje unajua sasa...
mfano siku moja nlipita uchochoro mmoja bhana ile nafika dirisha fulani
hvi hzo keleele nilizokutana nazo... mmmh inatakamoyo sana kuvumilia
usiangalie kulikoni maana kidirisha nachoo kinashawishi sana utupie
jicho kidogo aisee... sasa unadhani hiyo nafasi aipate mtoto wa uswazi
ataipoteza,,, ? ni chabo mwanzo mwisho... ukweli unakuja kwamba
tusiwalaumu wapiga chabo mazingira tunawatengenezea wenyewe mbona... we
unajua dirisha lako tia maji tia maji bado unajiachiiiiiiiia utadhani
mnacheza mkanda wa $%$#^& bhana ...... basi tujiami sasa hakikisha
kabla ya gemu unaweka mazingira mazuri ya usiri