Like Us On Facebook

LAANA JAMANI..!! MREMBO AGAWA PENZI NDANI YA GARI BAADA YA KUAHIDIWA KAZI YA MAANA...PICHA NA STORI CHEKI HAPA..



CHANZO cha habari kilieleza  kuwa  msichana huyo shida yake kubwa ilikuwa ni kupata kazi ya maana ndipo kibosile huyo alipojipatia fursa ya kumega penzi kiulaini baada ya kumuahidi mrembo huyo kwamba kazi ipo njenje.


Jamaa alizidi kumchanganya dada kwa kumwambia kwamba yeye ni Director katika kampuni kubwa..! Dadada alikubaliana na yote lakini inaonekana kama vile mrembo huyu alimuandaa mwenzie na Camera kabla ya tukio ili wakianza mambo ya watu wazima tu apige picha ya ushaidi ili endapo kama boss huyo atakiuka makubaliano hayo wamshushue. Basi kilichojiri ni kwamba penzi limetoka na kazi haikupatikana.

Dada zetu narudia tena dada zetu muwe makini jifunzeni kupitia wenzenu kama hawa.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari