Like Us On Facebook

KWA RAHA ZAO:WEMA APOST VIDEO YA DIAMOND AKIWA KITANDANI KIFUA WAZI NA ......ANGALIA PICHA NA VIDEO

Video hizi amepost mwanadada wemasepetu katika akaunti yake ya instagram,..moja ikimonesha yeye mwenyewe amelala kitandani, na baadae inasikika sauti ya mwanaume kwa mbali akiongea uku wema akiitika kwa kumsikiliza,. bila shaka mwamaume uyo atakuwa ni Diamond platinumz


video nyingine ni hii ikimuonesha diamond pia amelala kitandani  kifua wazi na badae kukiss kamera iliyokuwa ikimchukua kitandani hapo,..video hii iliambatana naujumbe wa wema aliouandika mwenywe instagram akisema:-

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari