Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine vya habari waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
Mahojiano na Kiss Tv yakaanza
Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri
Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida na magazeti