Like Us On Facebook

DHEHEBU LA AJABU:MCHUNGAJI ASEMA KULA MAJANI NI KUMKARIBISHA MUNGU MAISHANI,HII NI ZAIDI YA HATARI

Miaka ya hivi karibuni kumekua wimbi kubwa la madhebu mabimbali ya dini ya kikristo kuibuka...Sio Mbaya sana kwani hata viwanda vya pombe, na kumbi za disco nyingi hufunguliwa...

But kwa hili ni fungua mwaka. Baada ya mchungaji  Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries katika mji wa  Pretoria nchini Africa ya kusini kuwambia waumini watoke nje wale majani ili wawe karibu na Mungu. Daah hii hatari sana.
Jionee mwenye picha 10 za tukio zima.....Kuna moja anawakanyaga waumini wake.....Mchungaji anambwewe sana.





TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari