
MARIA
Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya
ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi
unaodaiwa kugombea mali.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama limethibisha kutokea kwa tukio hilo na bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa huyo.

MWONEKANO WA BI MARIA NKWABI BAADA YA KUPATA HUDUMA YA KWANZA.