Like Us On Facebook

Wastara awaomba mashabiki kuungana naye 28 Dec makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki



Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua maalum ya Sajuki

Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook.
“28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi wa kipenzi changu kipenzi chenu Sajuki tukutane kaburini kisutu kwa ajili ya dua ya pamoja…kwa Dar es salaam lakini dua rasmi ni 2.01.2014 Songea"..aliandika Wastara.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari