Andre Villas-Boas.
KOCHA wa Tottenham Hotspur ya Uingereza, Andre Villas-Boas,
amefukuzwa kazi jana kwa kile klabu ilichosema “kwa niaba ya maslahi ya
pande zote mbili” na ambapo mwenyekiti wa klabu hiyo, Levy, anaaminika
atamtaja kocha mpya hivi karibuni.Andre Villas-Boas amefukuzwa baada ya kipigo kutoka Liverpool cha magoli 5-0 kilichofanyika katika dimba la White Hart Lane.