Like Us On Facebook

UNAMKUMBUKA BABU AYUBU..?? HEBU MSIKILIZE HAPA AKKIGA SAUTI YA RAIS OBAMA, MUAMMAR GADDAFI NA MASAKO WA ITV

Ni mmoja kati ya Wachekeshaji maarufu Tanzania lakini bado kipaji chake hakijatumiwa vizuri kumpa mkwanja angalau wa kuishi vizuri kama wanavyoishi baadhi ya Wachekeshaji wenzake hapa Tanzania.Babu Ayubu 1

Umaarufu wake umetokana na kuigiza sauti za watu mbalimbali maarufu kama anavyofanya hapa chini kwenye hii sauti akiwaigiza Mzee Ally Hassan Mwinyi, Rais Obama, Muammar Gaddafi, Bambo, Masako wa ITV, Bibi Kidude, Pacho Mwamba na wengine. 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari