Like Us On Facebook

TAZAMA Picha tatu za ndege iliyonusurika kuua watu 200 jijini Arusha leo



Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) leo mchana  imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na hitilafu iliyokuwepo Uwanjani hapo na kulazimika kutua kwa dharula kwenye Uwanja  Mdogo wa Arusha, hali iliyopelekea Ndege hiyo   kupitiliza  na kusimama nje kabisa ya uwanja huo huku abiria zaidi ya 200 wakinusurika ...
 


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari