Like Us On Facebook

SIJALIWA URODA TANGU MWAKA JANA NILIPOACHANA NA MWANAUME WANGU..NISHA


Ni miongoni kati ya mastaa wanaotisha kwenye Tasnia ya Filamu hapa bongo Salma Jabu ‘Nisha’ aliyewahi kuingia kwenye game la muziki kwa kufuata mkumbo. 


‘Nisha’ now katia fora kwa kumaliza mwaka kishujaa bila ya kuwa na mpenzi yeyote wala kushiriki tendo la ndoa ikiwa tangu alipoachana na mpenzi wake ambaye hakupenda kumtaja jina ni kutokana na busy aliyokuwa nayo mwaka 2013.


“Sikuweza kukaa na kufikiria suala la mapenzi kutokana na u-busy niliokuwanao tangu nilipoachana na mpenzi wangu lakini busy yangu ya kazi pia ndio ilionipa mafanikio niliyonayo hivyo namshukuru Mungu kwa kunilinda mwaka mzima “- Nisha.


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari