Like Us On Facebook

POMBE SIO CHAI JAMANI,ALEWA POMBE MPAKA KASAHAU NJIA YA KWENDA KWAKE,ABEBWA KWENYE MKOKOTENI,AIUBU SANA


Ni aibu sana mtu kunywa pombe mpaka kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka kutembea unashindwa mwisho unabebwa kwa style hii kurudishwa kwako.
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni awachelewi kukufanyia vitu vya aibu.....mbayaaa(kwa sauti ya mchungaji Lwakatare)


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari