Like Us On Facebook

Picha za majeruhu katika basi la Burudani lililoua watu 12 na kujeruhi 55 -Handeni Tanga


Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
 
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. 
(PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE, MRISHO GAMBO)
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari