Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.