Mnenguaje huyu alianza kupandisha mizuka muda mfupi alipopanda jukwaani
nakuanza kushasha nguo yake aliyovaa huku akikatikia watu bila kujali,
kama inavyo onekana pichani, baadhi ya waangaliaji walihisi aibu hata
kumuangalia, na wengine waliamua kuhama viti vyao. Sio kawaida ya mcheza
show huyo kufanya kitu kama hicho na hata baadae alipo ulizwa alidai
hakumbuki kilichotokea.