Like Us On Facebook

MKE WA MTU ANASWA AKIMWAGA RADHI UKUMBINI BILA AIBU KWA MADAI ANATAFUTA PESA ZA KULA NA MUMEWE..

MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge
Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani

Mwanamke huyo aliyekiri mbele ya Mnyetishaji wetu kwamba ni mke wa mtu na kwamba mumewe amebariki kufanya kazi hiyo,alimwaga radhi hiyo mbele ya watu walika mbali mbali waliokumo kwenye ukumbi huyo siku ya ljumaa iliyopita akiwa sambamba na kundi hilo linaloongozwa na mwimbaji wa nyimbo za Pwani Omary Tego.

Mama Tentemente ambaye alimwaga radhi hiyo huku akiwa amevaa mtandani mwepesi ulioroweshwa maji huku ndani akiwa mtupu alimwaga radhi hiyo kwa kushirikiana ma mwenzake aliyefahamika kwa jina la Vaileth Faya 'Queens Vai ambaye alimwaga radhi zaidi ya Tentemente picha za Queen Vai zitawajia hivi Punde endelea kutembelea mtandao

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari