Like Us On Facebook

MAMBO YA CHRISTMASS MBEYA,HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA..FULL KUMWAGA RADHI...JIONEE MAPICHA HAPA....

Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point Sae Mbeya ni kila Jumatano,Jumamosi na Jumapili.
-GESHACK ENTERTAINMENT BLOG 
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari