Like Us On Facebook

LULU AZUNGUMZIA SABABU ZA YEYE KUFANYA MAZOEZI

Lulu akifanya mazoezi.

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mazoezi ni miongoni mwa vitu vinavyomfanya atulie na kutofikiria mambo yasiyofaa katika jamii.

Mwigizaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na rekodi ya kurukaruka viwanja, kwa sasa amebadilika ambapo mbali na mambo mengine, Lulu amesema mazoezi yamemsaidia sana kujituliza.
“Kama unavyoona, sasa hivi Lulu siyo yule wa foolish age, nimetulia, nafanya mambo yangu kwa ustadi mkubwa maana Mungu amenionesha,” alisema Lulu.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari