Like Us On Facebook

KUNDI LA KHANGA MOJA LAPIGWA MARUFU KUKANYAGA MKOANI BUKOBA, WAAMBIWA WAKITIA PUA ZAO HUKO WATACHOMWA MOTO!

Kundi la Khanga Moja la Jijini Dar limepigwa marufuku kukanyaga Mkoani Bukoba kutokana na vitendo vya kifuska walivyovifanya huko. Kwa mujibu mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina Rubangila aliimbia Xdeejayz kuwa kundi hilo limeacha laana kubwa sana mkoani humo kiasi cha kutia kinyaa hivyo wananchi mbalimbali wamesema kuwa hata siku moja wasithubutu kutia pua zao kwenye ardhi hiyo la sivyo watachomwa moto kisa aina wanayotumia kucheza.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari