Like Us On Facebook

HUU NDIO UJIO MPYA WA RAY C...SOMA ZAIDI HAPA..

Pichani juu ni mdada Rehema Chalamila ‘Ray C’ na chini ni mashairi ya wimbo mpya anaouandaa mwanadada huyo ambao ameutupia katika ukurasa wake wa Instagram. 

Mwanadada huyo kwa sasa yupo busy akiandaa nyimbo mpya.

Hivi karibuni wakati akiongea na paparazi wetu, Ray C alisema ana singo mpya kama 4 au 5. 

 “Naandaa albamu itayokuwa na ngoma zote kali nilizofanya kwa takriban miaka 10 sasa itaitwa The Best of Ray C. Itakuwa na greatest hits zangu zote nilizofanya kwa kipindi chote hicho. Tumuombe Mungu. 
Akinijali na kama mipango itaenda vizuri, Desemba mwaka huu nitarudi rasmi stejini. Nitafanya shoo maalum  kwa mashabiki wangu. 

Nitakuwa na nyimbo mpya kali na zile za zamani. Sipati picha kwa watu watakaohudhuria kwani watapata burudani adimu kutoka kwangu.” Alisema Ray C.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari