Like Us On Facebook

HII KALI:MAKAHABA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUKOMESHA UNYANYASAJI DHIDI YA WAFANYABIASHARA YA NGONO KENYA


LEO ni Siku ya Kimataifa Kukomesha Unyanyasaji Dhidi ya Wafanyabiashara ya Ngono Duniani. Nchini Kenya wafanyabiashara ya ngono walijumuika kwa pamoja na kufanya maandamano ya amani jijini Nairobi na Kisumu na kuitaka serikali ishughulikie matatizo yanayowakabili na kutaka kazi yao itambulike rasmi kama kazi nyenginezo.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari