Few hours ago,nchi yangu Tanzania imepata bahati
nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalo
pewa mbabe wa kabumbu Duniani ,ni kombe linaloheshimika
imefanyika usiku huu ndani ya viwanja vya hotel ya
Serena jijini Dar ,na
mimi kama barozi wa Coca cola nilikuwepo na nilipangwa
kama mmoja ya wasanii wa Kitanzania tuliotumbuiza
angalia picha chache hapa........
angalia picha chache hapa........
Home sweet home,nikijiandaa......... |
My personal security officer,call him Mwarabu akiwa satandby kabisa akinisubili... |
Baada ya kuwasili hotelini@Serena hotel,kulikwa
na ulinzi wa hali ya juu sanaa.........
Tukikwea ngazi kuelekea kwenye vyumba vyetuBackstage with my boys.............
Kazi ikaanza kihivii.............!!!!
Kwani nani amenunaa........!!!!!!!!!!!
Hapa sasa.ngololo ngololo..!!!!!!!!!
Aha aaha aaha aipooh..aah aipooh............!!!!!!!!!