Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.
...Akidhibitiwa asikimbie.
...Akijitetea baada ya kipondo.
...Akiwa amekalishwa chini kusikilizia maamuzi.
KIJANA
mmoja jana jioni alinusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada
ya kutuhumiwa kuiba sanduku la kuhifadhia spana katika gereji moja
iliyopo eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam.
-GPL