Like Us On Facebook

TRAFIKI ANASWA AKIUCHAPA USINGIZI MIDA YA KAZI BAADA YA KUZIDISHA POMBE


 
Askari wa usalama barabarani ambaye  mpekuzi wetu hakufanikiwa  kumtambua  jina anadaiwa kuacha kuongoza magari na  kisha kunasawa baa akiwa amelala  baada  ya  kulewa  kupita  kiasi..
 
Tukio hilo lilijiri juzikati kwenye baa moja maarufu maeneo ya mataa ya sanawari jijini Arusha ambapo askari huyo alinaswa  akiwa  hoi ndani  ya  sare za jeshi la  polisi  baada ya kuzidisha  pombe, jamabo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za jeshi la  polisi  nchini.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari