Like Us On Facebook

RAPA MASHUHURI WA AKUDO IMPACT CANAL TOP AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NCHINI CHINA..! SOMA ZAIDI HAPA

 
Canal Top wa kwanza kushoto 
  Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo. Habari zilizotufikia Bongoclan ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact maarufu kama CANAL TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA aka MADAWA YA KULEVYA. Sasa bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushu wetu chna watalifanyia hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea wasomaji wetu
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari