Like Us On Facebook

MSANII PROFESA JAY APATA AJALI MBAYA YA GARI MAENEO YA KIMARA JIJINI DAR..

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limharibeika.
Muonekano wa gari baada ya ajali eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar.


--GPL
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari