Like Us On Facebook

MCHEZA SHOW WA BOB JUNIOUR ALIYENASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA UCHOCHORONI APEWA ADHABU KALI


''DOGO T'' Katika harakati za naniliu...

DOGO T mcheza show wa msanii maarufu hapa nchini 'Bob Juniour' siku chache zilizopita chanzo cha habari kilielezea kunaswa kwa dogo huyo mwenye umri wa chini ya miaka (18) akijiandaa kuvunja amri ya sita namwanamke mmoja jijini Dar Es Salaam kama mnavyoona hapo pichani, Kitu ambacho kilipelekea DOGO T kupewa adhabu ya kutopafom katika matamasha kadhaa, 

Akiongea na Mwanahabari Huru kiongozi wa kundi hilo la The Chocolate Dancer's kundi lililojinyakulia ushindi katika shindano la Dance mia mia mwaka huu alisema kwamba Adhabu ya dogo imeisha na anaendelea na kazi kama kawaida.. 

Mashabiki kaeni mkao wa kula.



TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari