Like Us On Facebook

KWANINI UPIGE PICHA ZA UTUPU UKIWA NA MPENZI WAKO..UMEFIKIRIA MADAHARA YAKE?



Nilikuwa naperuz na kudadis mtandaonii, nikatutana na huyu kaka anaitwa Manaiki Sanga..! eti ni msanii na mwanamuziki sijui! nways..
Ametiwa mbaroni kwa kosa la kupiga picha chafu ZAIDI YA 400 na picha zake kuvuja!khaaa!nimejisikia vibaya kuona mmoja wa mdogo wangu kishuleshule wa primary kapozi kajibinua hana habari! na kalikuwa kapoleee..heshima tele kwa dada zake!kanashape na ni kazuri ila kamekomazwa na maisha ya ngono(ukiwa mfanyaji sana ujue esp mdada unachoka!haunawiri! lol) tuache hayo..
KWANINI MTU UJIWEKE CHEAP KIHIVYO? WHY?MKAKA MWENYEWE KIMEO...MVUTO 0!hatakama ni kitandani hiyo sio sababu ya kujidhalilisha!

Hata kama ni
kitandani..come on babes...why msimalizane bila picha jamani! at the end unaolewa na mwingine! Ona sasa at the end anaonekana kidume we unaonekana malaya tuu!
na huyu kaka hivi ndo kusema ibilisi hajakuachia hata akili moja ya utu?
Nadhani hii habari ya muda mtanisamehe,me nmeiona leo.

Kwanini upige picha uchi?tena na Boyfriend sijuw girlfried! why?kama mmeshindwa mapepo yenu yanakazania mpige...ok do it then BUT dont show ur face for crying out loud..just show ur ugly b>>>ts and let people guess!
Mdau Swts Kutoka JF
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari