Jamaa
mmoja wa nchini Uturuki amefariki kwenye ukumbi wa sinema za ngono
kutokana na shambulio la moyo wakati akijipigisha punyeto.
Polisi wa Uturuki waliitwa kwenye ukumbi wa sinema unaoitwa Fitas Cinemas katika mji wa Sakarya ambao siku zote huonyesha sinema za ngono baada ya jamaa mmoja kufariki akijichua mwenyewe wakati akiangalia sinema hizo.
Tukio hilo lilitokea jana katika kitongoji cha Adapazari katika mji wa Sakarya uliopo kaskazini magharibi mwa Uturuki na polisi walimtaja jamaa aliyefariki akiangalia ngono kuwa ni Hikmet Y. ambaye ana umri wa miaka 51.
Taarifa zilisema kuwa wakati taa zilipowashwa kwenye ukumbi huo wa sinema baada ya sinema mbili za ngono kuisha, watu waliokaa siti za jirani na mwanaume huyo walishtushwa kumuona akiwa ametoa nyeti zake nje huku akiwa haonyeshi dalili yoyote ya uhai.
Wamiliki wa ukumbi huo waliamua kuita polisi na ambulansi na walipofika walisema kuwa Hikmet alikuwa ameishafariki.
Taarifa ya uchunguzi wa maiti yake iliyotolewa baadae ilisema kuwa Hikmet alifariki kutokana na shambulio la moyo wakati akiangalia sinema hizo.