Like Us On Facebook

IRENE UWOYA AANIKA MAJIBU YAKE YA NGOMA HADHARANI.....AWASHAURI WASANII WENZAKE KUIGA MFANO WAKE..!



 
 Irene  Uwoya  hana  UKIMWI.....

Hii  si  kauli  yangu...Ni  kauli  ya  Mama  Krish  "Irene  Uwoya"  ambayo   imewekwa  katika  ukurasa  wake  wa  Instagram  ikiambatana  na  cheti  cha  maabara  kinachoonesha  kwamba  yeye  ni  mzima  wa  afya(  hana  ngoma )...

Pamoja  na  ambatanisho  hilo, Uwoya  amewataka  watanzania  kujiwekea  mazoea  ya  kupima  UKIMWI   ili  kujua  afya  zao
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari