Picha
za uchi zimeendelea kuwa fasheni kwa wasanii wa kike Tanzania
ambao wengi wao wanaamini kuwa bila kujianika uchi hawawezi
kuuza filamu zao...
Huyu ni Coletha Raymond 'Koleta' , mrembo niliyedhani anajiheshimu kumbe naye chenga tupu....
Hii
ni picha ya kiuno chake kilichopambwa shanga za kila rangi
ambayo imevujishwa na yeye mwenyewe.....Nadhani hiki kiuno kipo
sokoni kinauzwa.....