Mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Salim Abdallah |
Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka Salim Abdallah |
Mrisho Ngassa alimpiga kanzu kipa wa Mtibwa, Hussein Sharrif 'Cassilas' lakini akapigiwa filimbi ya kuotea |
Beki wa Mtibwa, Hassan Ramadhani akimdhibiti Mrisho Ngassa wa Yanga |
Beki wa Yanga, David Luhende akiwatoka wachezaji wa Mtibwa, Ally Shomary na Salim Abdallah |
Salim Abdallah wa Mtibwa akijiandaa kuondosha mpira kwenye hatari mbele ta Kavumbangu |
Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
Kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan akimtoka beki wa Mtibwa, Paul Ngalema |
Kiungo mkongwe wa Mtibwa, Shaaban Nditi akipasua katikati ya wachezaji wa Yanga SC, Mbuyu Twite kulia na Didier Kavumbangu kushoto |
Hata hivyo, Twite alimuangusha Nditi... |
Shaaban Nditi akiwatoka Said Bahanuzi na Kavumbangu wa Yanga |
Kikosi cha Yanga SC leo |
Kikosi cha Mtibwa leo |
Didier Kavumbangu akishangilia baada ya kufunga bao la pili |
Mpiga picha wa Azam TV, akirekodi kwa ajili ya matangazo ya Live ambayo kwa sasa yanarushwa kupitia TBC |
Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwaongoza wenzake kuingia uwanjani tayari kwa mechi |
Pamoja na kuwa na maumivu ya jicho, kipa Deo Munishi 'Dida' alianzia benchi leo-BIN ZUBERY |