Like Us On Facebook

WEMA SEPETU KUANZA KUONEKANA LEO KATIKA KIPINDI CHAKE CHA "IN MY SHOES" EAST AFRICA TV.


            Hapo kabla star wa bongo anayeongoza kwa ‘drama’, Wema Sepetu alikuwa akionekana zaidi katika magazeti, na mara kadhaa kupitia matukio mbalimbali katika TV, lakini kuanzia Jumatano hii ataanza kuonekana kupitia kipindi chake kipya cha runinga ‘In My Shoes’ kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha Television cha EAST AFRICA, kuanzia leo Octoba 15 saa tatu na nusu usiku.

Hivyo mashabiki na wapenzi wa Wema Sepetu nafasi ni yenu kutazama na kufahamu mengi kutoka kwa mwanadada huyu.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari