Staa wa filamu Bongo, Wema
Sepetu akielezea kuhusu msiba wa baba yake mzazi Balozi Abraham Isaac
Sepetu alipoongea na GLOBAL TV. Balozi Sepetu alifariki asubuhi ya
Jumapili Oktoba 27, 2013 katika hospitali ya TMJ jijini Dar na mwili
wake unaagwa leo nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar es Salaam tayari
kwa mazishi yatakayofanyika kesho Visiwani Zanzibar.
angalia video hapo chini
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.